Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Hospilai ya Rufaa ya Kanda Mbeya Yafanikiwa Kutoa Huduma ya Upasuaji kwa Njia ya Matundu

Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya leo imefanya kwa mara ya kwanza upasuaji kwa njia ya matundu(FUNCTIONAL ENDOSCOPIC SINUS SURGERY) wa matundu yanayoambatana na pua na magonjwa megine ya pua. Upasuaji huu umefanywa kwa umahiri mkubwa na Madaktari bingwa wa Masikio, koo na Pua kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Faida ya upasuaji huu kwa njia ya kisasa unasaidia mgonjwa kuchukua muda mufupi kukaa hospitalini, kutokuweka kovu eneo la upasuaji na mgonjwa kupona haraka.Hudu

31 thoughts on “Hospilai ya Rufaa ya Kanda Mbeya Yafanikiwa Kutoa Huduma ya Upasuaji kwa Njia ya Matundu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *