Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Hali ya Upatikanaji Huduma za Maji Nchini Zinaridhisha

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha akiomba Bunge liunge mkono Hoja ya Bajeti ya Wizara Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Waziri Kivuli wa Maji, Devotha Minja akiwasilisha Bajeti mbadala kwa niaba ya Kambi rasmi ya upinzani leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mahamud Mgimwa akiwasilisha Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Maji ya Mwaka wa Fedha 2018/2019 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2019/20120 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Maji na Taasisi zake wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (MB), wakati akiwasikilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2019/2020 Bungeni leo jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Baadhi ya Mawaziri wakimpongeza Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (mwenye tai nyekundu) mara baada ya kuwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2019/2020 Bungeni leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Uratibu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adeladus Kilangi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Januari Makamba. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Baadhi ya Wabunge wakisoma Kitabu cha Bajeti ya Wizara ya Maji wakati Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Januari Makamba akzungumza jambo na Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa (katikati), na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso leo Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma. Jumla ya Fedha shilingi 634,196,197,530 zimeombwa kwa ajili ya Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO).

178 thoughts on “Hali ya Upatikanaji Huduma za Maji Nchini Zinaridhisha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama