Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Tulia Anogesha Maadhimisho Siku ya Chakula Duniani

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Kilimo, Revocatus Kasimba akielezea jambo mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson(kushoto) alipotembelea mabanda ya washiriki wa maonesho ya bidhaa ya chakula na lishe ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia leo mjini Singida. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa washiriki wa monesho ya bidhaa za chakula na lishe alipotembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho hayo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia leo mjini Singida. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akipima urefu katika banda la umoja wa mataifa ikiwa ni zoezi la tathmini ya lishe kwa kuzingatia uwiano wa urefu na uzito alipotembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho y hayo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia leo mjini Singida. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandis. Mathew Mtigumwe akisikiiza maelezo kutoka kwa washiriki wa monesho ya bidhaa za chakula na lishe alipotembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho hayo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya chakula dunia leo mjini Singida. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akifurahia wakati akiwa amebeba nyoka na mmoja wa msanii wa kikundi cha ngoma kutoka Bujora Mwanza wakati wa hafla ya utamaduni kuelekea kilele cha siku ya chakula duniani leo mjini Singida. Taasisi ya Tulia Tust kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) liliandaa tamasha hili kuunga mkono Serikali katika maadhimisho hayo. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Afisa Mwandamizi toka Programu ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Dkt. Mwatima Juma kulia akiwa amebeba nyoka na mmoja wa msanii wa kikundi cha ngoma kutoka Bujora Mwanza wakati wa hafla ya utamaduni kuelekea kilele cha siku ya chakula duniani leo mjini Singida. Taasisi ya Tulia Tust kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) liliandaa tamasha hili kuunga mkono Serikali katika maadhimisho hayo. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Honest Kessy akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula na Kilimo (FAO), Bw. Fred Kafeero marabaada ya kumkaribisha mgeni rasmi Dkt. Tulia Ackson (katikati) wakati wa hafla ya utamaduni kuelekea kilele cha siku ya chakula duniani leo mjini Singida. Taasisi ya Tulia Tust kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) liliandaa tamasha hili kuunga mkono Serikali katika maadhimisho hayo. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Kikundi cha ngoma cha Mbalamwezi kutoka mkoani Singida kikitumbuiza wakati wa hafla ya utamaduni kuelekea kilele cha siku ya chakula duniani leo mjini Singida. Taasisi ya Tulia Tust kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) liliandaa tamasha hili kuunga mkono Serikali katika maadhimisho hayo. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019.

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson akikabidhiwa zana za jadi na mmoja wa wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mbalamwezi kutoka mkoani Singida wakati wa hafla ya utamaduni kuelekea kilele cha siku ya chakula duniani leo mjini Singida. Taasisi ya Tulia Tust kwa kushirikiana na Shirika la Kilimo na Chakula (FAO) liliandaa tamasha hili kuunga mkono Serikali katika maadhimisho hayo. Maadhimsho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Singida yakiwa na kauli mbiu ya Lishe Bora kwa Ulimwengu Usio na Njaa. Maadhimisho hayo yalianza tarehe 10 ambapo kilele chake ni tarehe 16 Oktoba, 2019,kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail