Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Shein Akutana na Rais Wa Muungano wa Visiwa vya Commoro

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipomtembelea leo Ikulu mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein  akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana.


FacebooktwittermailFacebooktwittermail