Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Mwakyembe Azindua Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

1. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akijaribu moja ya fulana alizopatiwa na Mjasaliamali mchoraji Baraka Aj (kulia) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo yanaliyofunguliwa rasmi jana jumamosi Oktoba 20, 2018.

2. Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikagua bidhaa na kazi za sanaa mbalimbali za washiriki wa Tamasha la Sanaa na Utamduni Bagamoyo mara baada ya kutembelea mabanda hayo kabla ya kuzindua Tamasha hilo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.

Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikagua bidhaa na kazi za sanaa mbalimbali za washiriki wa Tamasha la Sanaa na Utamduni Bagamoyo mara baada ya kutembelea mabanda hayo kabla ya kuzindua Tamasha hilo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.

6. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akicheza ngoma pamoja na kikundi kimojawapo kilichotumbuiza katika Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo muda mfupi kabla ya kuzindua Tamasha hilo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.

8. Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati )akiwasili katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA) kwa ajili ya kuzindua Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuingiza, Bi. Joyce Fisoo na Mkurugenzi wa Sanaa wa Wizara hiyo, Leah Kihimbi.

9. Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Balozi wa Palestina Nchini Dr Nasri Abu Jaish, Ambassador wakati akiingia katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni, Bagamoyo kwa ajili ya uzinduzi wa Tamasha la 37 Sanaa na Utamduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.

9. Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Balozi wa Palestina Nchini Dr Nasri Abu Jaish, Ambassador wakati akiingia katika viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni, Bagamoyo kwa ajili ya uzinduzi wa Tamasha la 37 Sanaa na Utamduni Bagamoyo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.

13. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Wawakilishi wa Mabalozi mbalimbali nchini akiwemo Balozi wa Msumbiji nchini Bi. Monica Clemente wakati alipotembelea mabanda ya washiriki wa Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kabla ya uzinduzi wa Tamasha hilo jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.

14. Wakufunzi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TASUBA) iliyopo Bagamoyo Mkoani Pwani wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni lililofanyika Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.

15. Wasanii wa Kundi la Ngoma Kali lenye makazi yake nchini Finland wakitazama burudani kutoka katika vikundi mbalimbali vilivyotubuiza katika Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililozunduliwa jana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.

17. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi cha ngoma kali kutoka nchini Finland muda mfupi mara baada ya kuzindua Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Wilayani Bagamoyo Pwani jana Jumamosi Oktoba 20, 2018.
(PICHA NA MAELEZO)

51 thoughts on “Dkt. Mwakyembe Azindua Tamasha la 37 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *