Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar Es Salaam

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.

Profesa Joseph Stiglitz akitoa mada katika Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mkutano huo unaofanyika leo jijini Dar es Salaam. .Picha na Abubakari Akida

70 thoughts on “Dkt. Mpango Afungua Mkutano wa Kiuchumi Jijini Dar Es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *