Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Kigwangala Afungua Mkutano wa Mwaka wa TANAPA na Wanahabari

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ambapo alisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuweka mikakati ya kuendeleza sekta ya Utalii ili kusaidia katika kukuza uchumi wa nchi,leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza

Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA) ambapo alieleza mpango wa Shirika hilo kuweka mkazo katika kuzifungua kanda za Kusini, Magharibi na kaskazini-Magharibi na tunaamini linawezekana, lengo ni kuhakikisha tunasaidia kukuza uchumi wa nchi, leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza

Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi wakifuatilia hotuba za ufunguzi wa mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamit Kigwangalla akiwa patika picha ya pamoja na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).

Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mawasiliano -TANAPA,Pascal Shelutete akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA), Leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza.(Na Mpiga Picha Wetu)

4 thoughts on “Dkt. Kigwangala Afungua Mkutano wa Mwaka wa TANAPA na Wanahabari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama