Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Abbasi Awanoa Maafisa Habari na TEHAMA

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii katika kutangaza huduma na shughuli mbalimbali za Serikali kwa Maafisa Habari na Maafisa Tehama kutoka Taasisi mbalimbali Serikalini  wakati wa mafunzo maalum yaliyofanyika leo Ijumaa Juni 8, 2018 Jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA MAELEZO)


FacebooktwittermailFacebooktwittermail