Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mzungumzo na Waziri Dkt. Mwakyembe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiagana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimueleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na hatay seo Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, walipokutana leo Jijini Dodoma.

109 thoughts on “Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mzungumzo na Waziri Dkt. Mwakyembe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama