Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk.Shein Amuapisha Naibu Katibu Biashara na Viwanda

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi.Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda baada ya kumteuwa rasmi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

155 thoughts on “Dk.Shein Amuapisha Naibu Katibu Biashara na Viwanda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama