Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI MKOANI DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi kilichoanza leo Mkoani Dodoma.

Washiriki wa kikao kwa ajili ya usambazaji wa ripoti ya tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk.Leonard Maboko(hayupo pichani) wakati akizungumzia hali ya maambukizi ya UKIMWI nchini.

106 thoughts on “DK MABOKO AFUNGUA KIKAO CHA USAMBAZAJI WA RIPOTI YA TATHMINI YA MAZINGIRA YA KISHERIA KATIKA MWITIKIO WA UKIMWI MKOANI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *