Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

DED Halmashauri ya Mkalama Kutuhumiwa kwa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Nduguti, wilayani Mkalama, kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 5.2019.

Wananchi wa Nduguti, wilayani Mkalama, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akihutubia, kwenye mkutano wa hadhara Oktoba 5.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Watumishi wa Halmashauri pamoja na Madiwani, katika ukumbi wa Halmashauri ya Mkalama, mkoani Singida. Oktoba 5.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimhoji Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Godfrey Sanga, kutokana na matumizi mabaya ya fedha za Umma, Oktoba 5.2019. wakati alipozungumza na Watumishi wa Halmashauri pamoja na Madiwani, katika ukumbi wa Halmashauri ya Mkalama, mkoani Singida. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

161 thoughts on “DED Halmashauri ya Mkalama Kutuhumiwa kwa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama