Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

CRDB yaichangia JKCI Milioni 50 Upasuaji wa Moyo

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia milioni 100.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa amenyanyua mkono ikiwa ni ishara ya kumshukuru Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa mara baada ya kumkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akizungumza na menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kabla ya kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiushukuru uongozi wa benki ya CRDB kwa mchango wao wa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100. Picha na JKCI

87 thoughts on “CRDB yaichangia JKCI Milioni 50 Upasuaji wa Moyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama