Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

COSOTA Yapewa Saa 24 Kuwasilisha Mkakati Utakaowanufaisha Wasanii

Na Shamimu Nyaki – WHUSM

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hasaan Abbasi ametoa saa 24 kwa Bodi na Menejimenti ya Chama cha Hakimiliki na Haki Shirikikishi Tanzania (COSOTA) kuwasilisha mkakati wa namna Wasanii watakavyonufaika kupitia Taasisi hiyo.

Katibu Mkuu ametoa agizo hilo leo Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya makabidhiano ya chama hicho kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara kwenda Wizara anayoisimamia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *