Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).
Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa watoto Yazinduliwa
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wa Serikali na wasio wa Serikali na wananchi wakicheza wimbo maalum wa kuhamasisha kuchanja Chanjo ya Matone dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wakati wa uzinduzi wa Chanjo hiyo leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.
Viongozi wa Serikali na wasio wa Serikali na wananchi wakicheza wimbo maalum wa kuhamasisha kuchanja Chanjo ya Matone dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wakati wa uzinduzi wa Chanjo hiyo leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma.Aliyebeba mtoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano unaofanyika leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akizindua Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akizingumza na Wananchi katika Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wazazi wakiwa na watoto wao waliopatiwa chanjo katika Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Matone Dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto Wenye Umri chini ya Miaka Mitano leo Mei 18, 2022 kwenye Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Kauli mbiu ya Kampeni hiyo ni Kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa kupooza (Polio) “Mpe Matone, Okoa Maisha”
online propecia uk
phd dissertation example
tips for writing your dissertation
definition of dissertation
best dissertation writing services uk
doctoral dissertation help reference
dissertation help uk
viagra sildenafil 100 mg lowest price sildenafil citrate tablets 100 mg