Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Bungeni: Matukio katika Picha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo, akichangia mada Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, akichangia mada, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.

122 thoughts on “Bungeni: Matukio katika Picha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama