Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Bunge Laendelea Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Corona

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika mashine maalum ya kunyunyuzia yenye dawa ya kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati alipoingia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 thoughts on “Bunge Laendelea Kuchukua Tahadhari Dhidi ya Corona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama