
Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.
Na Mwandishi Wetu
BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imeainisha mikakati 10 ya muda mrefu inayolenga kuinua soko la utalii nchini ambalo kwa sasa limeathirika na mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu (CORONA) unaosababishwa na kirusi cha (COVID-19) na kuenea katika nchi mbalimbali duniani.
Hayo yamesemwa leo Jumatano (Aprili 29, 2020) Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo wakati wa mkutano na Waandishi wa vyombo vya habari kuelezea athari za mlipuko ugonjwa wa CORONA na tathimini ya sekta ya Utalii nchini.
Alisema kuwa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utalii Duniani (UNWTO), inaonesha kuwa mlipuko wa ugonjwa wa CORONA utasababisha kushuka kwa kiwango cha kati ya asilimia 20-30 ya idadi ya watalii kwa mwaka 2020 pamoja na kusababisha ukosefu wa mapato kiasi cha Dola za Marekani 300-450 Bilioni duniani.
Akifafanua zaidi Jaji Mihayo alisema pia utabiri wa awali uliofanywa na Shirika lisilo la kiserikali linaloshauri nchi na taasisi za kimataifa la DEFC unaonesha kuwa mwenendo wa uchumi duniani umebadilika na utaendelea kubadilika ambapo sekta za utalii na usafiri wa anga ziilizokuwa zimeshamiri, kwa sasa zitakuwa za mwisho kwenye uchangiaji wa ukuaji wa uchumi duniani.

Wajumbe wa Bodi wakifuatilia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.
‘’Sekta ya Utalii nchini Tanzania inachangia takribani asilimia 17-17.5 ya mapato ya Serikali (GDP) ambapo kwa mwaka 2018 Tanzania ilitembelewa na watalii wapatao 1,505,702 kutoka watalii 1,327,143 wa mwaka 2017, hivyo janga la virusi vya CORONA limeleta athari kwenye soko la utalii duniani na hapa nchini pia kwenye sekta zinazowezesha sekta ya utalii’’ alisema Jaji Mihayo.
Aidha Jaji Mihayo aliitaja mikakati endelevu iliyowekwa na TTB katika kuendeleza na kukuza sekta ya utalii nchini ni pamoja na kushirikiana na wadau wa utalii kuandaa mkakati wa pamoja wa kukabiliana na janga la COVID-19 kwenye sekta ya utalii, kuandaa mkakati mpya wa mauzo wa kimataifa kupitia ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) na kushirikisha watu mashuhuri na mabalozi wa utalii Tanzania kwa ajili ya kutangaza utalii.
Aliitaja mikakati mingine ni pamoja na kuimarisha timu ya mauzo kubuni mbinu za kisasa na kitaalamu zenye ubunifu wa kuandaa mikakati ya mauzo ya mtandao, kutangaza utalii wa ndani kupitia programu maalum za mashule na vyuo vya elimu pamoja na kushirikiana na Balozi za Tanzania nje ya nchi kuweka mikakati bayana ya kuwapata mabalozi wa TTB.
Kwa mujibu wa Jaji Mihajo alisema mara baada ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa CORONA, TTB ilianza kuchukua tahadhari mbalimbali ikiwemo kuandaa na kurusha makala fupi ya dakika 1.5 iliyosambaa duniani kuhamasisha watalii kujikinga na COVID-19 na kuwakumbusha wasifute safari zao za utalii nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Bi. Devotha Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020, ukihusisha Bodi ya Taasisi hiyo.
‘’Makala hiyo fupi imezunguka kwenye masoko yetu yote makubwa duniani na imevuka matarajio ya awali ya kiwango cha watu waliyoiona na pia makala hiyo imeoneshwa kwenye vituo vyetu vya Televisheni na kuwekewa lugha za kiarabu, kifaransa, kijerumani na kidachi’’ alisema Jaji Mihayo.
Jaji Mihayo alisema TTB, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Mamlaka ya Uhifadhi Ngorongoro (NCAA) wameingia ubia na kampuni ya Great Migration Camp kwa pamoja wamebuni kipindi maalum kinachoitwa ‘’Serengeti Live Show’’, kinachorushwa mubashara na vingine kurekodiwa na kurushwa kwa awamu kwenye mitandao ya TTB na washirika wake nchini na nje ya nchi kuonesha utalii wa Tanzania.
Aliongeza kuwa madhumuni ya vipindi hivyo ni kukonga mioyo ya watalii ambao wameahirisha safari zao za kuja Tanzania kwa kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa CORONA, ambapo kupitia vipindi hivyo Tanzania itahakikisha kuwa Jina maalum la kutangaza utalii wa Tanzania la Tanzania Unforgettable linaendelea kutumia ili kuhamasisha sekta ya utalii nchini.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa TTB, Devotha Mdhachi alisema mwezi Mei mwaka huu Ofisi yake inatarajia kufanya kikao na wadau wa sekta ya utalii nchini ili kujadili mikakati ya pamoja inayolenga kuimarisha soko la utalii nchini katika kipindi hiki ambacho dunia inakabiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa CORONA.
Really informative article.Really thank you! Want more.
Thanks again for the blog article.Really looking forward to read more. Great.
This is one awesome blog.Thanks Again. Fantastic.
Regards for this marvellous post, I am glad I observed this internet internet site on yahoo.
Wow, awesome blog layout! How long have you been blogging for? you made blogging look easy. The overall look of your web site is magnificent, as well as the content!
You ave made some good points there. I looked on the internet for more information about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.
Really enjoyed this blog article.Thanks Again. Fantastic.
Im obliged for the article.Thanks Again. Much obliged.
Major thankies for the blog post.Really thank you! Great.
like to read it afterward my links will too.
Precisely what I was searching for, thanks for posting. Every failure is a step to success by William Whewell.
It as not that I want to replicate your internet site, but I really like the style and design. Could you let me know which design are you using? Or was it custom made?
There most be a solution for this problem, some people think there will be now solutions, but i think there wil be one.
It as not that I want to copy your web site, but I really like the design and style. Could you let me know which design are you using? Or was it tailor made?
Thanks again for the blog article.Really looking forward to read more.
I value the article.Much thanks again. Fantastic.
This blog is without a doubt awesome and informative. I have picked a lot of handy advices out of this blog. I ad love to come back again soon. Thanks a bunch!
This unique blog is really educating and also amusing. I have discovered a bunch of handy things out of this blog. I ad love to go back over and over again. Thanks!
This very blog is no doubt cool and informative. I have chosen many interesting things out of this blog. I ad love to visit it again soon. Thanks a bunch!
There is certainly a great deal to find out about this topic. I love all of the points you made.
Muchos Gracias for your blog.Thanks Again. Cool.
This web site is really a walk-through for all of the info you wanted about this and didnaаАабТТаЂааАабТТаБТt know who to ask. Glimpse here, and youaаАабТТаЂааАабТТаБТll definitely discover it.
You made some clear points there. I did a search on the subject and found most people will agree with your website.
Very nice write-up. I absolutely love this site. Thanks!
Thanks for sharing, this is a fantastic post. Great.
Louis Rams on Saturday in San Diego, as he led the Seahawks to a winning season and for the year.
Looking forward to reading more. Great article post.Really thank you! Awesome.
There are so many choices out there that I am completely confused..
This web site really has all of the info I wanted about this subject and didn at know who to ask.
Link exchange is nothing else however it is only placing the other person as web
Valuable information. Lucky me I found your web site by accident, and I am shocked why this accident did not happened earlier! I bookmarked it.
Inspiring story there. What occurred after? Thanks!
Wow! Thank you! I permanently needed to write on my blog something like that. Can I implement a fragment of your post to my site?
Youre so cool! I dont suppose Ive read anything like this before. So nice to find somebody with some original thoughts on this subject.
Very neat article post.Much thanks again. Fantastic.
This is a very good tip particularly to those new to the blogosphere. Short but very accurate information Many thanks for sharing this one. A must read article!
Thanks , I ave recently been looking for info about this subject for ages and yours is the greatest I have discovered so far. But, what about the conclusion? Are you sure about the source?