Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Air Tanzania Yazindua Safari ya Kwanza ya Mumbai

Mkurugenzi Mtendaji wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata keki wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe akikata utepe wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa safari ya ndege ya Air Tanzania kutoka Dar es Salaam kuelekea Mumbai nchini India ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana tarehe 17 Julai, 2019.

87 thoughts on “Air Tanzania Yazindua Safari ya Kwanza ya Mumbai

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama