Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Aweka Mawe ya Msingi Katika Ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili ya Wakandarasi na Uhamiaji Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, CRB, pamoja na Taasisi nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Jengo hilo la Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi linalojengwa mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Msajili wa Bodi ya Makandarasi CRB Eng. Reuben Nkori kuhusu ujenzi wa Jengo la Gorofa 10 la Bodi hiyo linalojengwa mjini Dodoma.

408 thoughts on “Rais Mhe. Dkt. Magufuli Aweka Mawe ya Msingi Katika Ujenzi wa Makao Makuu ya Bodi ya Usajili ya Wakandarasi na Uhamiaji Mkoani Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama