Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni leo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Khamis Kigwangallah wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akifafanua jambo alipokuwa akijibu swali la nyongeza wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.Kushoto ni Waziri wa Masuala ya Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Agustine Mahiga.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Luvuvi akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adeladus Kilangi akisoma muswada wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria mbalimbali wa mwaka 2019 wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Katikati) pamoja na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mhe. Lameck Mwigulu Nchemba (kushoto) wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Chemba, Mhe. Juma Nkamia wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.

Baadhi ya watendaji toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia uwasilishaji wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Sepmtemba 2019 jijini Dodoma. Miongoni mwa Sheria zinazokusudiwa kufanyiwa maerekebisho ni Sheria ya Basata ya mwaka 1984.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)

146 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama