Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mstaafu wa SMZ Abeid Karume Atembelea Maonesho ya Sabasaba

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akisaini kitabu cha wageni katika banda la wajasiriamali wakinamama, alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume akipata maelezo kuhusu bidhaa za korosho kutoka moja ya makampuni ya kuzalisha korosho nchini alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akichagua Korosho kutoka kwenye moja Makampuni yaliyoko kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akiangalia transifoma lililotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Tropical walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO).

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume, wakiangalia bidhaa zinazotengenezwa na Jeshi la Magereza walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

36 thoughts on “Rais Mstaafu wa SMZ Abeid Karume Atembelea Maonesho ya Sabasaba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama