Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Afika Katika Soko la Samaki la Ferry Wakati Katika Matembezi ya Jioni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika matembezi ya jioni katika maeneo ya Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa samaki katika maeneo ya Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na moja na wafanyabiashara aliyevaa kitambulisho ya Wajasiriamali wadogo katika Soko hilo la Ferry.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Cristian Nyoni mlemavu asiyeona ambaye anafanya biashara ya kuuza Pilipili katika soko la Ferry jijini Dar es Salaam.

 

206 thoughts on “Rais Magufuli Afika Katika Soko la Samaki la Ferry Wakati Katika Matembezi ya Jioni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama