Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla akisisitiza jambo leo Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe Selemani Jaffo leo Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo kwa wabunge leo Jijini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu.

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha Mhe. Amina Mollel akisisitiza jambo leo Bungeni Jijini Dodoma baada ya kipindi cha maswali na majibu.

Naibu Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya maji leo Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuhakikisha kuwa haki za wanyama zinazingatiwa.

(Picha zote na Frank Mvungi)

91 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama