
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi pamoja na baadhi kutoka nchi marafiki kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam (Picha na Ismail Ngayonga – MAELEZO).
Na. Fatm Salum
Rais John Pombe Magufuli amewatunuku kamisheni Maafisa wapya 197 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika sherehe zilizofanyika leo ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa hao wapya wa Jeshi kundi la 62 la mwaka 2017, wamehitimu mafunzo ya kijeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Jeshi Monduli kilichopo mkoani Arusha.

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 192 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania pamoja na Maafisa kadhaa kutoka nchi marafiki katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa waliotunikiwa kamisheni wanaume ni 169 na wanawake 28 wakiwemo Maafisa wageni 14 waliotoka nchi za jirani na nchi rafiki na Tanzania.
Aidha katika sherehe hizo Rais Magufuli alikagua gwaride na kutoa zawadi kwa Maafisa waliofaulu vizuri zaidi kwenye kozi mbalimbali wakati wa mafunzo yao.

Mafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi wakivalishana vyeo mara baada ya Kutunukiwa Kamisheni na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Chuo cha Mafunzo ya Jeshi Monduli kilianzishwa mwaka 1969 na Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere eneo la Kurasini Jijini Dar es salaam na mwaka 1976 kilihamishiwa wilayani Monduli mkoani Arusha.
Pingback: viagra from canada
Pingback: cialis without a doctor prescription
Pingback: cialis without prescription
Pingback: viagra for sale
Pingback: cheap viagra
Pingback: cheap viagra
Pingback: ed pills that really work
Pingback: over the counter erectile dysfunction pills
Pingback: best ed pills online
Pingback: generic cialis
Pingback: levitra pills
Pingback: slot machine games
Pingback: viagra pills
Pingback: slot machine games
Pingback: real money casino app
Pingback: cash loans
Pingback: viagra pills
Pingback: casino online real money
Pingback: king crown online casino
Pingback: casino games sites
Pingback: online casinos
Pingback: 20 cialis
Pingback: buy cialis
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: best online casino real money
Pingback: buy cheap viagra
Pingback: cheapest viagra online
Pingback: tadalafil 20
where can i buy viagra cheap viagra viagra coupon
legal to buy prescription drugs without prescription
https://canadarx24.com/#
meds online without doctor prescription