Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akisoma muswada wa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma wa Mwaka 2017 leo Bungeni mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Kpt.George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Madini Mhe.Dotto Biteko akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye akizungumza jambo na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe.Zitto Kabwe wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamis Kigwangalla akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Subira Mgalu wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma. (Picha na Daudi Manongi)

1,960 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Leo