Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Shinyanga yafunga viwanda vya uchenjuaji dhahabu

Eneo la kuhifadhi maji yenye sumu ya kuchenjulia dhahabu katika mradi mmoja wapo uliopo kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga, ni eneo la makazi ya watu ambalo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally N. Rufunga ameufunga rasmi mradi huo na kuagiza mmiliki wake kufikishwa mahakamani kwa kuvunja taratibu za kisheria.

Afisa kutoka ofisi ya madini Mkoa wa Shinyanga akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga juu ya mradi mwingine wa kuchenjua dhahabu eneo la Bushushu katika Manispaa ya Shinyanga

Nyumba hii ndiyo kiwanda chenyewe, awali ilijengwa kwa matumizi ya makazi lakini mmiliki alibadili matumizi na kuamua kuchenjua dhahabu

Read more